Sunday, July 22, 2018

Viwanja Arusha eneo la Olasiti Karibu na Mrisho Gambo Sekondari

Viwanja Arusha Olasiti


Viwanja Arusha Olasiti


Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya Mrisho Gambo na vinafaa kwa ujenzi wa nyumba za kuishi au za kupangisha. 

Huduma ya umeme, maji na barabara zinapatikana katine eneo la viwanja. 

Viwanja viko vya ukubwa mbali mbali na bei tofauti 

Viwanja vya ukubwa wa mita 14 kwa 20 bei ni shilingi 7,000,000/= 

Viwanja vya ukubwa wa mita 15 kwa 27 bei ni shilingi 7,000,000/= 

Viwanja vya ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei ni shilingi 8,000,000/=  hadi 12,000,000


Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba Simu: 0782580477 au 0754095405 WhatsApp: 0754095405 ili uweze kufika kuona viwanja na kununua.


Kiwanja eneo la uswahili Olasit Arusha

Viwanja Olasiti Arusha

Kiwanja kinauzwa eneo la olasiti Uswahilini jirani shule ya Msingi Olasiti. Barabara ya gari inafika hadi kwenye kiwanja / plot, umeme na maji pia vipo tayari katika eneo hilo.


Kiwanja kina ukubwa wa mita 18 x 20 na bei yake ni Shilingi Millioni 13,000,000 tu


Wasiliana Nasi Kupitia
Simu: 0782 580 477 au 0754095405
WhatsApp: 0754 095 405
E-mail: wildsofafrica@gmail.com

Viwanja na plots maeneo ya Olasiti Arusha

Viwanja vyenye ukubwa mita 20 kwa 20 vipo maeneo ya Olasiti jirani na shule ya masister. Maji na umeme vipo jirani kabisa na eneo hili la viwanja. Kuna barabara ya magari inayopakana na eneo hili.

Eneo hili linapakana na makazi yaliyojengwa vizuri. Bei ya kila kiwanja ni shilingi milioni 17. Wasiliana nasi uweze kutembelea eneo.

Wasiliana Nasi Kupitia
Simu: 0782 580 477 au 0754095405
WhatsApp: 0754 095 405
E-mail: wildsofafrica@gmail.com

Thursday, July 19, 2018

Viwanja na plots kisongo Arusha | Viwanja Arusha Tanzania

Viwanja na plots za ukubwa mbali vinauzwa maeneo ya Kisongo Arusha karibu na shule ya kimataifa Braeburn mita 50 toka bara ya kuelekea katika kiwanda cha nguo cha AtoZ.


Kiwanja kiwanja hiki kina ukubwa wa wastani wa mita za mraba 800 na kina barabara. Umeme na maji vipo jirani.

Pande mbili za kiwanja hiki zinapakana na barabara ya mtaa hivyo kinafaa sana kwa ujenzi wa vyumba vya biashara.

Bei ni shilingi milioni 8 tu

Kiwanja kina ukubwa mita 45 kwa 24 kipo mahali pazuri jirani na shule ya Braeburn mita chache toka barabara ya kuelekea kiwanda cha AtoZ

Bei ni shilingi milioni 30 mazungumzo yanaruhusiwa.  Karibu utembelee ili kujiridhisha zaidi na kufanya maamuzi.

Jirani na kiwanja hiki kuna plot yenye ukubwa wa mita 33 kwa 10 inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 13.






Thursday, June 28, 2018

Nunua kiwanja / Viwanja Arusha eneo la Kisongo karibu na kiwanda cha AtoZ

Viwanja Arusha Kisongo

Kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 30 kipo jirani na geti la kiwanda cha AtoZ Kisongo Arusha.


Kiwanja kinapakana na barabara kubwa ya magari ya kuelekea maeneo ya Mirongo kwenye mji wa kiasasa wa Arusha Safari city.


Bei ni shilingi milioni 22 tu. Karibu utembelee eneo. Pia jirani na eneo hili kuna eneo lenye ukubwa wa mita 80 kwa 23.


Kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa 50 kipo jirani na kiwanda cha AtoZ sehemu nzuri yenywe mwinuko na view nzuri ya mji wa Arusha.

Kiwanja hiki kipo umbali wa mita 200 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kiwandani. Umeme upo jirani pia kuna mradi wa tank la maji wa Auwasa unajengwa jirani hivyo maji yatakuwa ya uhakika miezi michache.

Bei ya kiwanja hiki ni shilingi milioni 50


Jirani na eneo hili pia kuna kiwanja chenye ukubwa wa mita 17 kwa 17 kinauzwa kwa bei ya shilingi
8 tu.




Nunua Viwanja Arusha | Viwanja na Mashamba Mlangarini Arusha

Viwanja Arusha Tanzania

Kijiji cha Mlangarini kipo upande wa kusini mashariki mwa mji Jiji la Arusha kiasi umbali wa kilometa 15 kutoka mnara wa saa kufuata barabara ya old Arusha Moshi baada ya kupita shamba la Maua la Dekker Bruis na Tanzania Flowers.

Kijiji cha Mlangarini kina huduma zote muhimu za kijamii ikiwepo sekondari ya kutwa na boarding yenye kidata cha kwanza hadi sita. Vilevile kijiji kina Dispensary ya Serikali pamoja na dispensary binafsi. Huduma za umeme, maji safi ya bomba pamoja na maji ya kumwagilia vyote vinapatikana.
Gharama ya nauli kutoka mjini Arusha hadi kijijini Mlangarini ni shilingi elfu 1000 tu na usafiri wa daladala unapatikana kuanzia asubuhi hadi saa za usiku.
Ardhi ya kijiji cha mlangarini inafaa kwa shughuli za kilimo cha mbogamboga ufugaji  na makazi. 


Mashamba ya viwanja tunavyouza katika kijiji cha Mlangarini

Shamba lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa. Shamba hili lipo katika kitongoji cha majengo  kijijini Mlangarini umbali wa mita 300 kutoka barabara kuu ya Arusha Nduruma na kuna barabara ya gari hadi katika eneo. Shamba hili linafaa kwa kulima na makazi kwani lina mfereji wa maji ya kumwagilia. Vilevile nguzo za umeme ziko umbali wa mita 100 kutoka shamba umbali ambao ni sawa na nguzo mbili tu

Shamba na kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka linauzwa katika kijiji cha Mlangarini kitongoji cha  Bondeni. Shamba hili linafikika kwa barabara ya gari pia lina mfereji wa maji ya kumwagilia. Umeme uko umbali wa mwita mia kutoka katika eneo hili.

Viwanja vya bei nafuu Arusha maeneo ya Olasiti

Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...