Simu: 0782 580 477 au 0754095405
WhatsApp: 0754 095 405
E-mail: wildsofafrica@gmail.com
Tunauza viwanja Arusha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za biashara na makazi. Viwanja vipo ndani ya jiji la Arusha na viunga vyake na pia katika maeneo ya jirani na Arusha. Sasa utaweza kumiliki kiwanja Arusha kwa kulipa kwa awamu mbili kwa baadhi ya viwanja. Kimsingi malipo ya awali yatafanyika siku ya manunuzi na na kiasi kilichosalia utapaswa kukilipa ndani ya kipindi cha miezi sita. Karibu sana uweze kumiliki kiwanja / viwanja Arusha
Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...