Thursday, July 19, 2018

Viwanja na plots kisongo Arusha | Viwanja Arusha Tanzania

Viwanja na plots za ukubwa mbali vinauzwa maeneo ya Kisongo Arusha karibu na shule ya kimataifa Braeburn mita 50 toka bara ya kuelekea katika kiwanda cha nguo cha AtoZ.


Kiwanja kiwanja hiki kina ukubwa wa wastani wa mita za mraba 800 na kina barabara. Umeme na maji vipo jirani.

Pande mbili za kiwanja hiki zinapakana na barabara ya mtaa hivyo kinafaa sana kwa ujenzi wa vyumba vya biashara.

Bei ni shilingi milioni 8 tu

Kiwanja kina ukubwa mita 45 kwa 24 kipo mahali pazuri jirani na shule ya Braeburn mita chache toka barabara ya kuelekea kiwanda cha AtoZ

Bei ni shilingi milioni 30 mazungumzo yanaruhusiwa.  Karibu utembelee ili kujiridhisha zaidi na kufanya maamuzi.

Jirani na kiwanja hiki kuna plot yenye ukubwa wa mita 33 kwa 10 inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 13.






Viwanja vya bei nafuu Arusha maeneo ya Olasiti

Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...