Thursday, June 28, 2018

Nunua kiwanja / Viwanja Arusha eneo la Kisongo karibu na kiwanda cha AtoZ

Viwanja Arusha Kisongo

Kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 30 kipo jirani na geti la kiwanda cha AtoZ Kisongo Arusha.


Kiwanja kinapakana na barabara kubwa ya magari ya kuelekea maeneo ya Mirongo kwenye mji wa kiasasa wa Arusha Safari city.


Bei ni shilingi milioni 22 tu. Karibu utembelee eneo. Pia jirani na eneo hili kuna eneo lenye ukubwa wa mita 80 kwa 23.


Kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa 50 kipo jirani na kiwanda cha AtoZ sehemu nzuri yenywe mwinuko na view nzuri ya mji wa Arusha.

Kiwanja hiki kipo umbali wa mita 200 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kiwandani. Umeme upo jirani pia kuna mradi wa tank la maji wa Auwasa unajengwa jirani hivyo maji yatakuwa ya uhakika miezi michache.

Bei ya kiwanja hiki ni shilingi milioni 50


Jirani na eneo hili pia kuna kiwanja chenye ukubwa wa mita 17 kwa 17 kinauzwa kwa bei ya shilingi
8 tu.




Viwanja vya bei nafuu Arusha maeneo ya Olasiti

Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...