Viwanja Arusha

 VIWANJA  ARUSHA MAENEO YA MLANGARINI Bei Kuanzi Shilingi 4,000,000


 Viwanja vilivyopimwa


Jipatie viwanja vilivyopimwa kwa bei nafuu kabisa. Viwanja vina ukubwa kuanzia mita za mraba 800 na kuendelea. Eneo la mradi liko umbali wa kilometa 12 toka clock tower Arusha mkabala na barabra ya East Africa.

Unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili ndani ya kipindi cha miezi 6.

Huduma muhimu kama vile maji barabara na umeme vinapatikana katika eneo la mradi wa viwanja.

Mradi wa pili wa viwanja Arusha katika eneo hili upo umbali wa takribani mita 500 kutoka barabara ya East Africa. Viwanja hivi. Bei ya viwanja ni shilingi 22,000 kwa kila square meter.  Viwanja vipo vya ukubwa mbali mbali kuanzia square meter 800.

Malipo ya viwanja yanaweza kufanyika kwa awamu mbili ndani ya kipindi cha miezi sita.


Viwanja Visivyopimwa


Tofauti na viwanja vilivyopimwa pia tunakuletea viwanja ambavyo havijapimwa katika eneo la kijiji cha Mlangarini na maeneo jirani. Viwanja visivyopimwa navyo viko vya ukubwa tofauti tofauti na bei zake zinatofautiana kulingana na mahali vilipo. 

Lakini kwa ujumla bei za viwanja visivyopimwa ni nafuu zaidi na vinakuwa na ukubwa mzuri unaotosheleza kujenga nyumba na kubakia na eneo la kuendeshea miradi kama vile ya ufugaji nk. Viwanja visivyopimwa tulivyonavyo vina ukubwa wa hadi nusu heka na kuendelea. 

Kwa mfano viwanja vya robo heka tunauza kwa bei ya kuanzia milioni 4 na kuendelea na vya nusu heka shilingi milioni 15,000,000 na kuendelea na vya robo tatu heka kuanzia shilingi milion 20,000,000 na kuendelea.

Wasiliana nasi kupitia nambari ya simu 0754095405 kutujuza uhitaji wako wa kiwanja nasi tutakusaidia kukupatia kiwanja kinachendana na budget na uhitaji wako



VIWANJA MAENEO YA KISONGO



Viwanja jirani na kiwanda cha A to Z.

Viwanja hivi vinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi binafsi na nyumba za kupangisha.  Huduma ya barabara ya lami, maji na umeme zinapatikana.

Bei ya Viwanja vya Kisongo Arusha inatofautiana kulingana na ukubwa kama ifuatavyo.

Viwanja vya  ukububwa wa mita 10 kwa 18: Shilingi 3,500,000

Viwanja vya  ukububwa wa mita 10 kwa 20: Shilingi 4,500,000

Viwanja vya ukububwa wa mita 20 kwa 18: Shilingi 7,000,000

Viwanja vya ukububwa wa mita 20 kwa 20: Shilingi 9,000,000

Mteja anaweza kununua viwanja hivi kwa kulipa fedha yote kwa mkupuo au kwa kulipa kwa awamu mbili tofauti.

Kwa manunuzi wasiliana nasi kupitia namba hii 0754 095 405

 

Viwanja Kisongo Maeneo ya Karibu na stand

Viwanja hivi viko umbali wa mita 300 kutoka eneo la Kisongo madukani. Viwanja hivi vinaangaliana na barabara kuu ya Arusha Babati.

Tunapima viwanja kuanzia ukubwa wa mita 20 x 20 kwa bei ya shilingi milioni 12,000,000/=


Viwanja vya bei nafuu Arusha maeneo ya Olasiti

Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...