Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya Mrisho Gambo na vinafaa kwa ujenzi wa nyumba za kuishi au za kupangisha.
Huduma ya umeme, maji na barabara zinapatikana katine eneo la viwanja.
Viwanja viko vya ukubwa mbali mbali na bei tofauti
Viwanja vya ukubwa wa mita 14 kwa 20 bei ni shilingi 7,000,000/=
Viwanja vya ukubwa wa mita 15 kwa 27 bei ni shilingi 7,000,000/=
Viwanja vya ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei ni shilingi 8,000,000/= hadi 12,000,000