Kiwanja kipo eneo la Mlangarini bondeni umbali wa kilometa 3 kutoka barabara ya east Africa na umbali wa nusu kilometer kutoka barabara kuu ya Arusha Nduruma.
Kiwanja hiki ni miongoni mwa viwanja vizuri tunavyoviuza na kina ukubwa wa mita za mraba 3800. Huduma ya umeme, barabara na maji ya bomba na mfereji zinapatikana jirani kabisa na kiwanja.
Kiwanja hiki kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi kwa kua eno lake ni kubwa .
Bei ya kiwanja ni shilingi za kitanzania 26,000,000/=
Kwa kutembelea kiwanja na manunuzi wasiliana nasi kupitia namba 0754 095 405
Karibu sana uweze kuwa mmoja wa wanaomiliki viwanja Arusha
