Tuesday, April 25, 2023

Viwanja Arusha Mlangarini | Plots na Viwanja vya makazi Mlangarini Arusha

 


Tunakuletea viwanja Arusha katika eneo la Mlangarini umbali wa mita chache kutoka katika barabara ya  Arusha bypass (barara ya east Africa).  

Viwanja vinauzwa kwa bei ya shilingi 22,000 kwa kila mita za Mraba na vingine Shilingi 26,000 kwa kila mita za mraba.

Viwanja vina ukubwa wa mita za mraba kuanzia mita 800 na kuendelea.

 

Eneo la mradi wa viwanja vya Arusha Mlangarini kuna miundombinu ya barabara, maji na umeme na kila kiwanja kina barabara.

 

Mteja anaruhisiwa kulipia kiwanja kwa awamu mbili tofauti ndani ya kipindi cha miezi sita.

 

Kwa manunuzi wasiliana nasi kupitia namba hii 0754 095 405

 

Karibu umiliki kiwanja chako sasa katika eneo la Mlangarini Arusha

Viwanja vya bei nafuu Arusha maeneo ya Olasiti

Karibu ujipatie kiwanja kizuri katika eneo la Olasiti Arusha. Viwanja vipo karibu kabisa na barabara ya East Africa na shule ya sekondari ya...