Karibu ujipatie kiwanja Arusha katika eneo la kijiji cha Mlangarini umbali wa kilometer 13 kutoka mnara wa saa kati kati ya jiji la Arusha. Viwanja hivi ni vizuri na vina ukubwa kuanzia mita 35 kwa 35, 50 kwa 35 hadi ukubwa wa nusu heka.
Viwanja vipo karibu umbali wa kilometer tatu kutoka barabara ya East Africa na umbali wa mita chache kutoka barabara kuu ya Arusha Nduruma.
Huduma muhimu kama vile barabara, maji ya bomba na umeme vipo karibu kabisa na viwanja hivi.
Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi kwani havipo kwenye maeneo yenye msongamano. Tunakukaribisha kutembelea viwanja ili uweze kujionea mwenyewe .
Wasiliana nasi kupitia simu na 0754095405